web analytics

Nusu Saa Lyrics by Mbosso

Ayoo Lizdr
Nina hadithi ya mapenzi ngoja nikuhudithie..
Kwenye yangu matembezi nusu kufa nizimie…
Ushaona mtoto bila malezi ndo nilikuaga mie..
Moyo niliwapa wezi
Matapeli waniibie…
Sasa inatosha, nimesahau
Tangu nikupate wewe naiona angalau
Sasa imetosha
nimesahau mimi
Tangu nikupate wewe naiona angalau..
Robo saa…
Haitoshi nusu saa…
Hata masaa…
Sichoki kusema na wewe…

By Fizzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *