Merijaah Lyrics by Mbosso
Jirani yangu, jirani yangu..
Tumezoea mlango wake, mlango
wangu vinatazamana..
Sukari kwake, chumvi
Kwangu tukaazimana..
Akawa bf wangu, udugu
Wangu tukashibana..
Mwisho tukapendana..
Ooh meri merijaah..
Kama ingekuwa ndoo
ya maji ingejaa…
Na kama ingekuwa
nguo mwilini ningevaa
Oooh meri meri, ooh meri merijaah…
Full lyrics will be updated soon…Keep reloading this page.