web analytics

Siko Single Lyrics by Mbosso

Kwenye safari ya mapenzi
We dereva imaraa aah…
Panapo na utelezi..
Naomba gangamaraa aahh..
my i know
I know..

Zitakuja changamoto toto
Sweet I know
I know
Tutapitia misoto toto
Najua unanipenda mchumba…
Huwenzi enda na kimbunga..
Najua unanipenda laazizi
Huwezi enda na mawimbi mpenzi…

By Fizzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *