web analytics

Pawa Lyrics by Mbosso

Kamusi namaliza
Kurasa kukusifia
Matusi naiona basata wakinifungia
Theluthi hizi raha ninazopata
Mia fil mia aah

Mjusi ukuta wa plasta nauparamia..
Na kama penzi ni chupa la bia…
Nipe sana niwe mlevi
Ni yumbe yumbe njia..
Kwa maana we mlezi
Na unanijulia..
Hawana hawawezi pakukuibia dear..
Pawa pawa naishiwa pawa…

Penzi lako mizani mizito
naishiwa pawa
Pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
Pawa pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
naishiwa pawa

Pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa..

Nilifeli secondary kwendaga chuo..
Ila kufeli penzi lako sina hilo chaguo
Yeremia mstari ni funue ufunuo oooh…
Nikupambe kwa matari nwilini iwe nguo..
Na kama penzi
Ni chupa la bia..
Nipe sana niwe mlevi
Ni yumbe yumbe njia
Kwa maana we mlezi
Na unanijulia..
Hawan hawawezi
Pakukuibia dear..

Pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa..

Pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa..

Pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito
Naishiwa pawa..

By Fizzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *